Nakukaribisha katika blog hii ambapo utapata kujifunza mengi kuhusu UFALME WA MUNGU,WOKOVU na mengine mengi ya kimasisha.
SOMO: KANISA LA MUNGU NA HUDUMA ZAKE( JIFUNZE KUHUSU KANISA)
A:KANISA LA BWANA YESU KRISTO.
I.
Maana ya Kanisa.
II.
Aina za kanisa .
III.
Chanzo cha kanisa la Agano jipya.
IV.
Mifano ya kanisa.
V.
Kazi (HUDUMA ZA KANISA).
VI.
Nafasi ya ROHO MTAKATIFU katika Kanisa. VII.
Hitimisho .
1.
MAANA YA KANISA
Maana isiyo ya
Kibiblia.
·
Jengo la kanisa mara nyingi watu huita
KANISA.-katika agano la kale majengo haya yalitwa;SINAGOGI,HEKALU.
·
Dhehebu au kundi la watu katika dini ya
Kikristo.
Maana ya “KANISA” katika Agano la kale
v
Neno
KANISA ni asili yake limetokana na nene la kiyunani linaloitwa “EKKLESIA”
v
Neno –EK
likiwa na maana ya “KUTOKA KWA”
v
Neno – KLESIA lina maana ya “KUITWA”
v
Neno “EKKLESIA”
likiwa na maana ya –KUITWA KUTOKA KWA.
v
HIVYO neno
KANISA katika Agano la kale
lilimaanisha ;watu ambao wameitwa kutoka kwenye DHAMBI na dunia na ambao
wamekusnyika kwa lengo moja.
Maana ya KANISA
katika Agano jipya
ü
Waumini wa kwanza katika Agano jipya, walitumia
neno kanisa kumaanisha ifuatvyo;
ü
MKUSANYIKO WA WAAMINI NA WAUMINI katika IMANI YA KRISTO.
ü
WARUMI 16:4-15; NISALIMIENI NA
KANISA LILILOMO KATIKA NYUMBA YAO.
ü
WAGALATIA 1:2, 1THESALONIKE 1:1.
ü
Ni kundi lote la watu waliozaliwa mara ya pili(
UMOJA WA WAKRISTO ULIMWENGUNI KOTE) 1PETRO 1:23. Yakobo 1:18,
ü
Watu walionunuliwa kwa damu ya YESU
KRISTO. MATENDO YAMITUME 20:28. UFUNUO 14:4-5.
2.
AINA ZA KANISA
I.
JENGO
II.
WATU WA MAHALI PAMOJA
III.
MTU BINAFSI(MIMI NA WEWE)
3.
CHANZO CHA KANISA LA AGANO JIPYA.
v
MSINGI WA KANISA hili NI YESU KRISTO , BWANA NA
MWOKOZI WETU.
v
Kanisa sio shirika la kibinadamu ,kama
wengine walivyolifanya.
v
MATHAYO
16:18, “NA JUU YA MWAMBA HUU NITALIJENGA KANISA LANGU;WALA MILANGO YA KUZIMU HAITALISHINDA”
v
WAEFESO 2:20-22.
v
KANISA LA KRISTO lilizaliwa SIKU YA
PENTEKOSTE,ambayo Ahadi ya BABA ya ROHO
MTAKATIFU ,ilitimia na MITUME WAKAJAZWA ROHO MTAKATIFU
v
MATENDO 2:1-4, MATENDO 2:41. Watu elfu
tatu walipata wokovu siku hiyo, na KANISA likaanzia hapo.
WASHIRIKA WA KANISA
a)
Mtu anakuwa mshirika wa KANISA la KRISTO mara tu
baada ya KUOKOLEWA (MATENDO 2:27)
b)
Watu wengi wamekuwa washirika wa madhehebu
mbalimbali ya dini,,bila kuwa WASHIRIKA WA KANISA LA KRISTO.
c)
MTU anapokuwa MKRISTO anahitaji kuungana NA WAUMINI
wa KANISA la BWANA ili KUIMARISHA kanisa LA MUNGU.
d)
WASHIRIKI WA KANISA LA KWELI
ü
NI WATAKATIFU-Tumetenganishwa
na maisha ya dhambi na tunamwishia MUNGU. WARUMI 1:7
ü
NI NDUGU. WARUMI 8:29
ü
NI WAAMINI.
ü
NI WATEULE.
4.
MIFANO YA KANISA
I.
KANISA NI BIBI –ARUSI NA MWANAKONDOO
v
UFUNUO 21:2
“Nami nikauona mji ule mtakatifu,Yerusalemu mpya,ukishuka kutoka mbinguni kwa
MUNGU,umewekwa tayari,kama bibi-arusi aliyekwisha kupambwa kwa mumewe”
v
UFUNUO 21:9, MATHAYO 25:6,, YOHANA 3:29. UFUNUO
19:7.
v
BWANA –ARUSI NI YESU KRISTO, KANISA LINAPASWA KUJENGA MSINGI WAKE katika
UTAKATIFU.
II.
MASKANI YA MUNGU (HEKALU LA BABA,MWANA NA
ROHO MTAKATIFU)
·
YOHANA 14:23 “YESU akajibu,akamwambia,Mtu
akinipenda,atalishika neno langu; na BABA
yangu atampenda; nasi tutakuja kwake, na kufanya MAKAO kwake”
·
YOHANA 14:16-17 “ Nami nitamwomba BABA, naye atawapa
Msaidizi mwingine,ili AKAE nanyi hata
milele” “bali ninyi mnamtambua ,maana anakaa kwenu, naye atakuwa ndani yenu”
·
1WAKORINTO 6:19-20 “AU hamjui ya kuwa mwili wenu ni HEKALU LA
ROHO MTAKATIFU aliye ndani yenu,mliyepewa na MUNGU? Wala ninyi si mali yenu
wenyewe; Maana mlinunuliwa kwa THAMANI.
Sasa basi,mtukuzeni MUNGU katika miili yenu.
·
UFUNUO
21:3, 1KORINTO 3:16, 2KORINTO 6:16.
·
KILA mshirika wa KANISA la KRISTO ATAMBUE uthamani
huu MKUU tuliopewa na MUNGU,,ili TUWEZE KUKAA katika hali YA UTAKATIFU.
III.
MWILI WA KRISTO YESU,MWOKOZI.
Ø
1WAKORINTO 12:24-37. 27 “BASI
NINYI MMEKUWA MWILI WA KRISTO,NA VIUNGO KILA KIMOJA PEKE YAKE”
Ø
YESU NDIYE BWANA na KIONGOZI MKUU wa kanisa.
Ø
KILA MUUMINI,ni mshirika wa MWILI HUU.
Ø
Wauumini wanahitaji kushirikiana ili waweze
kuishi katika MWILI wa KRISTO.
Ø
KILA mwamini ni Mtu na kiungo MUHIMU cha KANISA.
Hata kama kinadharauliwa na kuonekana ni cha kawiada bado NI CHA MUHIMU
SANA.
Ø
KILA mshirika katika MWILI huu lazima awe na uhusiano
wa moja kwa moja na MKUU WA KANISA –YESU KRISTO.
Ø
KANISA NI MWILI WA KIROHO WA YESU kujidhihirisha
kwa ULIMWENGU.
Ø
Hivyo washirika,
wote tunapaswa
kuhimizana,kusaidiana na kufanya kazi kwa pamoja ili kuujenga mwili wa KRISTO.
Ø
WAEFESO 4:16
“Katika yeye mwili wote ukiungamanishwa na kushikanishwa kwa msaada wa
kila KIUNGO,kwa kadri ya utendaji wa kila sehemu moja kwa moja, huukuza mwili
upate kujijenga wenyewe katika UPENDO”
IV.
KANISA NI NGUZO NA MSINGI WA KWELI
1TIMOTHEO 3:15
NI mahali ambapo watu hufundishwa kweli yote ya NENO LA MUNGU.
V.
KANISA NI CHOMBO MILIKIWA NA MUNGU MWENYEWE
TITO 2:14. , 1 PETRO 2:9
ü
NYUMBA YA
ROHO
ü
UKUHANI
MTAKATIFU
ü
MAWE
YALIYO HAI
ü
MZAO
MTEULE
ü
UKUHANI WA
KIFALME
ü
TAIFA
TAKATIFU
ü
WATU WA
MILIKI YA MUNGU.
ü
TAIFA LA
MUNGU.
5. KAZI (HUDUMA YA KANISA LA KRSTO)
MUNGU ,BWANA YESU
KRISTO aliweka na kuanzisha KANISA ili kuleta UTUKUFU WA JINA LAKE.
v Kazi
hizi tunaweza kuziangalia katika sehmu tatu ambazo zinamtukuza MUNGU
i.
‘KWA NJE’
> INJILI YA YESU KRISTO
ii.
‘KWA
NDANI’ > TUNAPOJENGANA SISI KWA SISI
iii.
‘KWA JUU’
>KATIKA IBADA
KAZI ZA KANISA
A.
Kuhubiri injili kwa kila kiumbe ulimwenguni kote( HABARI NJEMA ZA
UFALME WAMUNGU)
MARKO 16:15, MATHAYO 28:19-20. 1PETRO 2:9,MATENDO 1:8.
B.
Kujengana Nafsi (mwili wa KRISTO) 1KORINTO
14:26.
C.
HUMFANYIA MUNGU IBADA . WEABRANIA 13:15, 10:25. NJIA ambazo tunamwabudu MUNGU
v
Kukusanyika pamoja, mathayo 18:20,,ebrania 10:25.
v
Kupitia mziki na nyimbo. Waefeso 5:19,, zaburi 50:23,ZABURI 150
v
Kwa njia ya MAOMBI .MATENDO
2:46-47,4:24. MARKO 11:17
v
KUTOA
v
Kwa NJIA YA ROHO MTAKATIFU
v
KUHIDHABIHU NMIILI YETU, WARUMI 12:1-2.
D.KANISA HUMRUSU ROHO MTAKATIFU katika HUDUMA ZOTE.
1KORINTO 12:4
E.HUFUNDISHA KWELI YA NENO LA MUNGU.kupitia
vipindi mbalimbali,Sunday school,vijana.
F.HUBATIZA KWA MAJI MENGI. MATHAYO 28:19
G.HUKUMBUKA KIFO CHA BWANA kwa njia ya MEZA YA BWANA. LUKA 22:20.
H. HUFANYA USHIRIKA MBALIMBALI, kuomba kwa
pamoja, kula kwa pamoja na kushirikiana.
I.kanisa HUSHEREKEA, mfano;ndoa,watoto kuombewa,vifo, Christmas,pasaka,siku ya BWANA
J.KANISA HUKUA
K.HUHUDUMIA WATU; KUSAIDIA wahitaji,waliopotea,na kuwalea
waumini wapya.
PIA kazi nyingine muhimu ni pamoja
na
v
KUMTII KRISTO kwa kuwatii wnadamu. WAEBRANIA 13:17, TITO 3:1-2. 1THESALONIKE 5:12, MALAKI 2:7.
v
KUITEGEMEZA NYUMBA YA MUNGU
v
KUIJENGA NYUMBA YA KUABUDIA
v
KUITEGEMEZA NYUMBA YA MCHUNGAJI
v
1WAKORINTO
9:7-11; MATHAYO 25;31-46;
v
KUTOA ZAKA
MALAKI 3:10-12., MITHALI 10:27.
MITHALI 3:9-10.
6.
NAFASI YA ROHO MTAKATIFU KATIKA KANISA LA
LEO. ROHO wa MUNGU ndio chanzo
cha KANISA LA KWANZA ,hivyo basi tunapaswa kutambua na kumpa nafasi ya PEKEE na
ya KWANZA katika MAISHA YETU na HUDUMA
katiKA kanisa lake.
ü
Wagalatia 4:6, waefeso 4:4
ü
YEYE ndiye kiongozi,mwalimu wetu hivyo ni vyema katika maamuzi yote tuyafanyayo
KUMSHRIKISHA ili tuweze kukua KATIKA IMANI YA YESU KRISTO.
ü
KANISA ,tunapaswa kusisitiza kila mmoja wetu,
kuhusu KUJAZWA NA kutembea,kuishi katika ROHO MTAKATIFU
7.
HITIMISHO
“KANISA ni MWILI HALISI WA KIROHO WA YESU KRISTO, hivyo tunapaswa kuwa na
kutmbea na kuishi katika UTAKATIFU”
v
LUKA 18: 7-8
“NA MUNGU,JE! HATAWAPATIA HAKI WATEULE WAKE WANAOMLILIA MCHANA NA USIKU,
NAYE NI MVUMILIVU KWAO?8 NAWAAMBIA,ATAWAPATIA HAKI UPESI; WALAKINI, ATAKAPOKUJA
MWANA WA ADAMU, JE!ATAIONA IMANI DUNIANI?
HESHIMA NA UTUKUFU KWAKO BWANA NA MWOKOZI WETU YESU KRISTO
UNAYE TUWEZESHA! Barikiwa sana wote.By jbrev.
No comments:
Post a Comment