BWANA Yesu KRISTO MWOKOZI PEKEE asifiwe sana!
Karibuni sana katika katika blog hii tuweze kujifunza mambo yanayohusu UFALME WA MUNGU!
SOMO : UPEKEE WA MTU KATIKA UUMBAJI WA MUNGU!
Mbingu na nchi na vyote viijazavyo vimeumbwa na MUNGU, na MUNGU ameumba kila kitu kwa JINSI YAKE (namna yake, upekee, UNIQUENESS.)
Kila kitu MUNGU alichoumba ni CHEMA, Muhimu hapo ni kutambua KUSUDI la kila kitu alichoumba MUNGU, zaidi ya hapo vinaweza kutumiwa tofauti na Mpango wa MUNGU.
MWANZO 1:31
MUNGU akaona kila kitu alichokifanya, na tazama, ni chema sana.
Muhimu :UUMBAJI WA MUNGU lengo lake kubwa ni kupanua UFALME WA MUNGU toka MBINGUNI hadi Duniani, MUNGU mpango wake mkubwa ni KUYAFANYA MAPENZI YA MBINGUNI yafanyike pia duniani. (yale yaliyoko juu MBINGUNI yaonekane duniani)
MUNGU BABA MUUMBA, ILI Kufanikisha Mpango wake wa KUENEZA UFALME WAKE DUNIANI, akaamua KUMFANYA MTU ili huyu amwakilishe Duniani kwa kutunza, kulinda na kuongeza UFALME kwa njia ya UUMBAJI WA MUNGU!
NOTE THIS FIRST GOD'S PLAN FOR CREATION OF MAN.
Mwanzo 1:26 - 31.
"MUNGU akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu ;wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi "
" MUNGU akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa MUNGU alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba "
" MUNGU akawabarikia, MUNGU akawambia,ZAENI, MKAONGEZEKE, MKAIJAZE NCHI, NA KUITIISHA ; MKATAWALE SAMAKI WA BAHARINI, NA NDEGE WA ANGANI, NA KILA KIUMBE CHENYE UHAI KIENDACHO JUU YA NCHI "
🎤UPEKEE WA MTU.

- Mtu ni kiumbe pekee ambaye MUNGU anaonyesha umuhimu mkubwa wakati wa uumbaji.
- Tumeumbwa kwa MFANO WA MUNGU.
- Tumeumbwa kwa SURA YA MUNGU.
- Mtu ndiye aliyepewa uwezo wa kutawala viumbe vingine :
- MUNGU alitupa Pumzi ya Uhai kutoka kwake.
- Tofauti na viumbe vingine, MTU ana HISIA, AKILI, MAAMUZI (EMOTIONS, WILL, CHOICE).
🎤VITU MUHIMU ALIVYOMBIWA MTU BAADA YA UUMBAJI.
- ZAENI (BE FRUITFUL) : MUNGU amemwumba mtu na ndani ya mtu kuna vipawa, zawadi, kusudi, maono (gifts, potentials, relationships, visions and purposes).These are needed by others but many people die without being FRUITFUL!! Please there are more inside you, give them out to benefit others!
- MKAONGEZEKE (MULTIPLY) : God does not need us to remain the same each day, each month, each year.. Because we are His own Image Creatures..we must seek to grow and multply all areas of Life so that we can influence and fill the Earth with HIS Glory and Kingdom... Don't stay at the same Level!
- MKAIJAZE NCHI(REPLINISH THE EARTH) : To fill the Earth with Kingdom of God through family, principles of GOD, Gospel.
- KUITIISHA NCHI (SUBDUE)
- MKATAWALE VIUMBE HAI (HAVE DOMINION OVER OTHER LIVING THINGS)
WANADAMU bado sisi ni wa muhimu kwa MUNGU, tunayo sura yake. Na MUNGU anaitafuta Sura yake ndani ya mwanadamu iliyopotea baada Ya ANGUKO la Mwanadamu wa Kwanza.
YESU KRISTO amekuja kuturejesha katika mpango wa MUNGU wa Awali!
LUKA 19:10 "KWA KUWA MWANA WA ADAMU ALIKUJA KUTAFUTA NA KUOKOA KILE KULICHOPOTEA

"
MUNGU ANATUPENDA sana, mpaka aliamua kuchukua GHARAMA YA Kuja KUTUOKOA na Kuturudisha katika FURAHA YA MILELE aliyoweka tangu awali kwa wote WAMWAMINIO YESU KRISTO MWOKOZI PEKEE!
Barikiwa sana wote! Somo hili litaendelea... UTAPATA KUJUA WEWE ULIVYO WA THAMANI PALE UNAPOAMUA KURUDI KWA BABA MUNGU MUUMBA WETU!!
0753775948. Jb

.
Casino | Dr.MCD
ReplyDeleteOur mission is 포천 출장샵 to help you make life a better place. From gambling, to helping 시흥 출장안마 people overcome 군포 출장마사지 the loneliness, to 창원 출장마사지 having 세종특별자치 출장마사지 fun, Rating: 4.4 · 28,083 votes